Javascript is Disabled, please enable Javascript for smooth view of the page

Follow us

  • Mwanza Tourism youtube channel
  • Mwanza Tourism Instagram account
  • Mwanza Tourism Twitter account
  • Mwanza Tourism Facebook page

Mwanza Tourism Tanzania

Karibu Tanzania

Domestic Tours

Katika kukuza utalii wa ndani kwa kushirikiana na baadhi ya makampuni ya utalii ya Mwanza na vivutio vya Utalii tutakuwa tunakuletea tour (safari za utalii) za kila mwezi siku za wikiendi kwa bei nafuu za kwenda kwenye vivutio vyetu vya utalii ili kuwawezesha watanzania kufurahia, kuburudika, kuchangamsha akili, kukuza na kuona vitu vipya na kujua umuhimu wa utalii.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa namba 0685 134817 (Whatsapp)
Au tuma email kwenda mwanzatourism@gmail.com
Au jiunge na group letu la Joint Tours whatsapp kwa kubonyeza hapa.

Mwanza Tourism tunajishughulisha na kukuza na kutangaza utalii wa mkoa waMwanza, maeneo ya jirani na Tanzania kwa ujumla, ili kukuza utalii na kuwezesha Mwanza kuwa kivutio kikubwa na bora cha utalii katika Afrika Mashariki.